Tendo la ndo nikitu muhimu sana ndani ya mahusiano. Nimuhum
sana kuliko unavo fikiria wewe. Hisia zako zina lisha nafsi yako,chakula
kitaweka mwili wako ufanye kazi kama kawaida.
Hizi ndio zili sababu 17 kwanini ufanye tendo la ndoa:
1. Hupunguza stress
Tendo la ndoa hupunguza stress kama ambavyo vituvingine
vinapunguza strees.tendo la ndoa hufanya mwili kutengeneza homoni ambazo huweza
kupunguza strees. Imethibitishwa na wana sayansi kua wapenzi ambao mahusiano yao
hayako vizuri pugunguza kufanya tendo la ndoa ambayo sio.
2. Huweka homoni za mwanamke kua balanced.
Tendo la ndoa huweza fanya mengi kwa mwanamke na situ kumpa
nyuso yenye furaha.tendo huzalisha homoni ya estrogen. kuogezeka kwa hormone
hii husaidia kuogeza mda wa uwezo wa
kubeba mimba, husaidia katika mzunguliko wa mwanamke, inaogeza uwezo wa
mwanamke kubeba mimba. Faida hivi huonekana kama unafanya tendo la ndoa angalau
kwa week mara moja
3.Hupungaza hatari ya kupata saratani.
Tendo la ndoa hupunguza mwezekano wakupata saratani ya titi
kwa wanawake na saratini ya tezi dume kwa mwanaume.
4.Husaidia mtu kuishi maisha marefu.
Tendo la ndoa huweza kupunguza uwezo wa mtu kupata magojwa
kwa kuogeza kinga ya mwili.pia hupuguza uzee.
5.Husaidia misuli ya mwili mzima.
Tendo la ndoa husaidia misuli ya mwili mzima kua imara
sana.hii ndo kuwapa shape nzuri wanaweke na wanaume. Hii pia huweza saidia
misuli ya nyoga kua imara sana ambayo itasaidia mtu asiwe anajikololea hovyo.
6.Hupunguza maumivu
Maumivu ya kichwa cha kawaida tu isiwe sababu ya wewe kuto fanya
tendo la ndoa. Tendo hili huweza kupunguza stree ambayo inaweza kusababisha
kichwa kuuma.
7. Kukufanya utake zaidi kila wakati
Jinsi unazo zidi kufanya tendo la ndoa ndivo unavo zidi
kutaka zaidi. Hii yaweza kumuogezea mwanaume nguvu za kiume.
8.Husaidia kupunguza uke na nguvu za kiume.
Kufanya tendo la ndoa husaidia kuimaisha misuli ya
nyonga.misuli ya nyoga ikiwa imala yaweza saidia uke wa mwanamke kubana, na
uwezo wa mwanaume kumwaga shahawa ziweze kufika mbali
9.Husaidia kupata usigizi.
Kama unatatiza la kupata usingizi, ni mda mwafaka sasa fanya
tendo la ndoa utapata usingizi wakotosha sana. Kufika kileleni husababisha
kutoka kwa kemikali ambayo husababisha mwili mzima kutulia kabisa.
10.Huleta muonekano nzuri
Utafiti unaonesha kwamba wanawake ambao hufanya tendo la
ndoa mara kwa mara hua wenye furaha sana na kua na muonekano mzuri kuliko wale
ambao hukosa tendo hilo.
11.Husababisha hedthi nzuri kwa wanawake
Jinisi mwanamke anazo zidi kufika kileleni ndizo hedthi zake
kulekebika na kua za mda mfupi pamoja na damu chache kutoka.pia hii hupunguza
maumivu kipindi cha hedthi
12.Husaidia wapenzi kuweza juana zaidi
Kufanya tendo la ndoa na mtu anakuonesha upande wake mwigine
ambao watu wengi hawaufaham.kumanisha wewe ni mtu muhimu katika maisha yake.pia
husaidia kumfurahisha mwezako na kujua vitu gani anapenda na utaweza kumjua
kuliko mtu mwigine.
13.Hupunguza hatari ya kupata tezi dume(saratani)
Mwanaume ambae anafanya mapenzi mara kwa mara anapunguza
uwezekano watezi dume kuvimba.
14.Hupunguza uzito.
Kila tendo moja la ndoa huweza punguza calories 100.
Ukifanya tendo la ndoa angalau mara mbili kwa wiki inaweza saidia kupunguza
uzito wa mwili
15.Huleta ngozi nyororo
Kama unangozi mbaya sana.kufanya tendo la ndoa huweza saidia
ngozi yako kua nyororo.wakati wa tendo la ndo homoni inayoitwa DHEA kuzalishwa
ambayo husaidi ngozi.
16.Inaimarisha ubongo
Tendo la ndoa huogeza kiasi cha damu ambacho kinaenda kwenye
ubongo.ambayo itakufanya kua makini zaidi.
17.Inakufanya kua mweye furaha.
N.K: KUMBUKA KUNA MAJOGWA MENGI SANA. TAKE CARE.
DR ONESMO EDISON
0759913570
0625897890
No comments:
Post a Comment