herpes simplex ndio ugojwa ambao mara nyingi mtu hupata wakati wa kuyonya sehemu zasiri.kuna aina mbili za ugojwa huu, kuna herpes simplex type 1 and herpes simplex tpye 2.
kuna herpes simplex ya mdomoni na ya sehemu za siri. type 1 ni ya mdomoni na type 2 ni ya sehem za siri.
- HERPES SIMPLEX TYPE 2.
herpes simplex type 2 ni ugojwa ambao unasambazwa kwa njia ya kujaamiana. ugonjwa huu huathiri zaidi sehem za siri.
pale ambapo mtu hunyonya sehem za siri za mtu mweye ugojwa huweza kupata herpes simplex type mdomoni.
DALILI ZAKE.
- Malengelenge mengi mdomoni.
- maumivu makali mdomoni,
- lipsi kuwaka moto.
- vidonda mdomoni.
herpes simplex type 1 ni ugojwa ambao ni kawaida yake kua mdomoni, ugojwa huu hufanana sana na herpes simplex type 2.
type 1 ndiyo ule ambao unaupata wakati ukipata malaria.
- HUWEZA KUKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA SARATANI YA SHINGO.
SARATANI? Ndyo huweza kukuweka hatarini kupata saratani ya shingo. Hii imethibitishwa na American cancer Society Chief Medical Officer Otis Brawley, MD.
saratani hii husababishwa na kirusi kinachoitwa, human papiloma vurus.(HPV) ambacho hupatikana sehemu za siri.
- Huweza kusababisha maambukizi ya virusi vya ukimwi.
DR ONESMO EDISON
0759913570
0673913571
Je mwanaume anayenyonywa uume naye anaweza kupata shida yoyote?
ReplyDeleteIv si kunatiba ya magonjwa hayo
ReplyDeleteIkitokea umenyonya ufanye nini
ReplyDeleteikitokea umenyonya baada ya mda ufanye kitu gan
ReplyDeleteNilikua nampango wakunyonya uke lakini nimejifunza kitu hapa thank you
ReplyDelete