baada ya miaka mingi wataalamu wakaifanyia utafiti tena na kugundua mmea huu unafanya kazi kweli ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote na kutibu tatizo la ugumba liletwalo na matatizo mbalimbali, na njia pekee kuufikisha dunia nzima ni kuweka kwa mfumo wa kopo na tembe ili isiweze kuharibika... leo hii virutubisho hivi muhimu viko tele nchini kwetu na kwa bei rahisi tu.
mwanzoni niliwahi kusema dawa ya kutibu nguvu za kiume duniani haipo... ni chakula tu na kuishi maisha bora ndio suluhisho pekee na msimamo wangu haukubadilika, nilipoona virutubisho hivi nikasoma mchanganyiko wake kwa makini sana na niliwasifu sana waliotuletea afrika kwani asilimia kubwa ya virutubisho hivyo hata huku afrika hakuna kabisa na hakuna kemikali hata moja kwenye mchanganyiko wake.
kukamilisha utafiti wangu nilimpa rafiki yangu mmoja wa kiume akajaribu na akaipenda sana na akanipigia simu kwamba anataka nyingine ahifadhi kwani imemfanyia maajabu, lakini pia kuna dada yangu alikua na shida ya uzazi akiwa na umri wa miaka 35 bila mtoto alikua amekata tamaa kabisa baada ya kupima kila kitu na kuambiwa yuko sawa hospitalini, yeye na mume wake walipotumia virutubisho hivyo hawakumaliza wiki sita tayari mke alikua mjamzito.
virutubisho hivi vinafanya kazi vipi?
umri unavyozidi kwenda na mawazo yanapokua mengi , mwili unapunguza kasi ya kutengeneza homoni za binadamu na hii huleta uchovu, kunenepa, usingizi sana au kukosa usingizi, kuchoka, hisia za joto na baridi ndani ya muda mfupi kitaalamu kama hot flushes hivyo virutubisho hivi vikitumika hutoa taarifa kwenye ubongo kwamba utengenezaji wa homoni hizi uanze upya vizuri.
mchanganyiko wa virutubisho vilivyomo ndani ya virutubisho hivyo.
mzizi wa maca; mzizi huu huleta nguvu za mwili, huondoa uchovu, huondoa mgandamizo wa mawazo na hurutubisha uwezo wa uzazi kwa wote mwanamke na mwanaume.
tunda la tribulus terestris; tunda hili huongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa jinsia zote kwa kushtua homoni za adrogens kwenye ubongo.
mzizi wa muira puama; hupunguza kiasi cha lehemu mwilini yaani cholestrol. wataalamu hivi karibuni wamegundua inazuia kansa ya ngozi na kansa ya kansa ya tezi dume.
magamba ya miti ya cuaba; magamba haya hufanya kazi ya kusaidia sana mfumo wa fahamu.
l -arginine; hii ni aina ya protini inayoleta misuli yenye nguvu na mifupa migumu, pia huleta nguvu za mwili, stamina na kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
tunda la saw palmetto; ni nzuri kwa ovari za mwanamke na tezi dume, lakini pia huzuia kipara cha uzeeni kwa wanawake na wanaume.
pygeum africana; hili ni gamba la mti linalotibu tezi dume iliyovimba.
coenzyme q 10; hii ni enzyme ambayo inatengeneza sana nguvu za mwili, imehusishwa na kusaidia kuishi maisha marefu, kushusha presha, ugonjwa wa moyo, kutibu maumivu ya kichwa na matibabu ya kansa.
soya; hii huweka sawa homoni za kiume na kuzuia dalili za uzee.
matumizi ya dawa hii kwa wanawake;
dawa hii hutumika sana tatizo la mvurugano wa homoni kwa wanawake ambao mara nyingi huleta maumivu ya tumbo, chunusi, hali ya joto kali na baridi kali wakati mmoja, hasira za mara kwa mara na mgandamizo wa mawazo hivyo kirutubisho hiki huamrisha mwili kutoa kiwango sahihi cha homoni.
kwa wanandoa au wachumba wanaotafuta mtoto virutubisho hivi hufanya kazi vizuri wakiitumia wote na sio kwamba inaongeza nguvu za kiume na mbegu tu ila inapambana na matatizo ya uzazi yanayoweza kuzuia mimba kama uvimbe wa ovari na kadhaliaka.
jinsi ya kutumia;
kopo moja lina tembe sitini za rangi ya chocolate hivyo humezwa mbili kila siku kama chakula na maji mengi na matokeo yake huonekana ndani ya muda mfupi sana.
upatikanaji;
kuna baadhi ya mikoa sio rahisi kuvipata kabisa virutubisho hivyo lakini kwa dar es laam vipo na ukihitaji unaweza kupata kwa wasambazaji maalumu na ukatumiwa mkoani sio maduka ya madawa au wasiliana na sisi tukuelekeze.
mwisho; dunia sasa hivi imejazwa na dawa nyingi kali na zenye sumu ambazo kama madhara yake yangetajwa hadharani wagonjwa wetu wangekataa kumeza dawa. hivyo ni vizuri kumeza dawa za hospitali kama unaumwa kweli na unapoandikiwa na daktari tu, lakini pia ni vizuri kutumia sana virutubisho vya asili ili kujikinga na magonjwa mengine nyemelezi.
DR ONESMO EDISON
0759913570
0673913571
No comments:
Post a Comment