Magojwa tofauti huweza kusababisha kolodani kuvimba, kuvimba
kwa kolodani huweza kugawanywa katika sehem mbili.
Sababu ya kuvimba inakua nje ya kolodani.
-Inguinal hernia
-Lipoma uvimbe ndani
ya ngozi
Sababu ya kuvimba kolodani inakua ndani ya kolodani
-Hydrocele (busha)
-Epididymal cyst( uvimbe katika mishipa ya mbegu za kiume)
-Epididymo-orchitis
maabukizi katika mishipa na mayai
-Testicular tumour
saratani ya mayai
BUSHA(hydrocele)
Ni mkusanyiko wa maji mengi zaid ya kawaida ndani ya kolodani.Kolodani huzalisha mpaka 0.5ml za maji kwa siku moja. Busha huweza kusababishwa kwanjia 3:
1. uzalishaji wa maji ndani ya kolodani zaidi ya kawaida
2. kuziba kwa mishipa ambayo inatoa maji ndani ya kolodani.
3. upungufu wa uwezo wa kolodani kutoa maji yalio zalishwa.
Busha huweza kusababishwa na:
1. shida ya kuzaliwa nayo
2. saratani
3. maabukizi ya bacteria na minyoo.(hiki ndo kisababishi
kikuu cha kulodani kuvimba Tanzania,husababishwa na myoo .(wunchereria
bancrofit)
4.kuumia kwa kolodani. Kama kupigwa.
Dalili
1.uvimbe katika kolodani ambao hauna maumivu
2.uvimbe huanza ghafla sana
Nb: sio kweli kua maji ya nazi ndo husababisha busha ndani ya
jamii yetu.kama nilivo sema hapo juu kisababishi kikuu cha busha ndani ya jamii
zetu ni myoo ambaye anasambazwa na mbu.ndio maana ukojwa huu upo sana sehem za
ufukweni. Kama mwanza, tanga, dar es salaam n.k
Kwa jina lingine busha waweza sema matende ya kolodani.
DR ONESMO EDISON
0759913570
0673913571
No comments:
Post a Comment