Wednesday, 19 December 2018

UNAJUA KWANINI WANAWAKE WAKO HATARINI ZAIDI KUPATA MAABUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI KULIKO WANAUME.



Wanawake wako hatari zaidi kuliko wanaume kupata maabukizi ya virusi vya ukimwi kwa sababu:

1. Bao/shahawa za mwanaume hukaa ndani ya uke wa mwanake kwa masaa 72.

2. aina ya ngozi(vaginal mucosal) ambayo iko ndani ya uke mwanamke ninyepesi sana kuchubuka ukilinganisha naya ngozi iliopo kwa mwanaume.


3. uke wa mwanamke uko acidity,hii hari husababishwa na mdudu(lactobacilli) kukosekana kwa mdudu huyu hupunguza acid ndani ya uke wa mwanake. hali hii ikitoke inakua inasababisha maabukizi kwa wepesi zaidi kuliko kawaida

4. eneo (surface area) ambalo lipo kwa mwanamke ni kubwa sana kuliko mwanaume, virusi vinakua na eneo kubwa ambalo vinaweza ingilia.

5. maji maji ya ukeni hupungua kutokana na mwanamke anavo zidi kukua, maji ya kulainisha ya kipungua inakua ninyepesi kupata mchubuko wakati wa tendo la ndoa.

No comments:

Post a Comment