Punyeto ni nini?
Hii ni tabia ambayo mwanamke au mwanaume anajichua sehemu za siri ili kufika kileleni, mara nyingi kitendo hiki hufanyika na muhusika akiwa peke yake chumbani au bafuni.
Wahanga wengi wa tabia hii ni wanaume kwani huanza katika umri mdogo sana kwasababu ya uoga wa kufuata wasichana na kuangalia video za ngono ambazo huwasukuma kufanya vitendo hivi..
Lakini punyeto huambatana na madhara makubwa ya kijamii na kiafya na leo tutaangalia madhara hayo kumi ya punyeto..
2. Ni moja ya chanzo kikuu cha kupoteza nguvu za kiume kwasababu ya kuharibu mishipa ya fahamu wakati mtu akijisugua.
10. Punyeto ni chanzo kikuu cha ngono za jinsia moja shuleni na vyuoni ambazo huambukiza magonjwa ya zinaa kama kaswende, gono na ukimwi kirahisi sana.
Mwisho: acha punyeto na uanze maisha mapya kiakili, kimwili na kiroho na acha kusema hii ndio punyeto ya mwisho sitarudia tena, acha mara moja…
DR ONESMO EDISON
0759913570
0673913571
No comments:
Post a Comment