Maabukizi ya virusi vya ukimwi yamekua tatizo kubwa sana kwa
jamii yetu tunayo ishi. Wagojwa wa kwanza wa virusi vya ukimwi waligundilika
mwaka 1983 na walikua wa tatu tu. Kufika mwaka 2012 kati ya wagojwa 1.3-1.5
milioni wali lipotiwa kupatikana na virusi vya ukimwi na 450,000 kati ya hao
kuhitaji dawa za kurefusha maisha. ARV(30%).
Ukimwi ni ugojwa ambao unashambulia chembe chembe za damu
nyeupe.(CD4) Upungufu wa chembe chembe za damu nyeupe husababisha upungufu wa
kinga mwilini.
Dalili au magojwa tajwa hapo chini yaweza tokea kwa mgojwa
yoyote ambaYe ana ugojwa unao sababisha kinga ya mwili kupungua kama kisukari,
utapialo, na saratani.
1.. Kuvimba mtoki mwili mzima.(generalized
lymphadenopathy) Hii ndo dalili ya kwanza kabisa.kwa sababu ya virusi vingi ndani ya mwili mtoki(lymph node)
za mwili huvimba zote.ambazo zipo shingoni,ndani ya kwapa,kwa paja etc
2. Mkanda wa jeshi.(shingles)
Mkanda wa jeshi husababishwa na mdudu aitwae varicella
zoster ambae pia ndo husababisha tetekuanga utotoni.ugojwa huu hutokea kama mtu ana
upungufu wa kinga mwilini kwake.
3.
3. Kifua kikuu (pulmonary tuberclosis)
Ni ugojwa ambao una asili mfumo wa hewa.na ndio ugojwa
nyemelezi mkubwa katika wa gojwa wa ukimwi.dalili kubwa za ugojwa huu ni
kukohoa kwa zaidi ya wiki mbili, kutokwa jasho sana usiku na kupungua kwa kilo
za mwili bila maelezo.
4. Kupungua kwa
uzito wa mwili bila maelezo.(>10%)
Pungungua zaid ya asilimia kumi na kupanda za uzito bila
maelezo yoyote yale.hii inaweza kua dalili moja wapo ya ukimwi.
5.
5. Fangas ya mdomoni.
Mgojwa hupata fangas ya mdomo ambayo ni ngumu sana kupona
hata kama akitumia dawa za fungus.dalili kubwa ni mgojwa anapata sana shida
kumeza chakula.
6.
6. Homa.
Mgojwa hupata homa za mara kwa mara sana pale baada ya
kupata maabukizi ya virusi vya ukimwi.homa zisizo kua na mpangilio.
7.
7. Kuharisha.
Kuharisha sana,hata ukienda kupima choo inaonekana huna
shida yoyote lakini bado una harisha sana tu.zaidi ya mara tatu kwa siku
DR ONESMO EDISON
0759913570
0673913571
No comments:
Post a Comment