wamama wengi sana hukosea wakati wa kuwayonyeshwa watoto wao. mama anazania mtoto ameshimba kumbe tumbo la mtoto linakua limejaa gesi tu.
hapa ndipo umuhimu wa mwanamke kuhuzulia clinic kipindi akiwa mjamzito unakuja. wanawake wajawazito hufudishwa namna ya kuyonyesha.
UTAJUAJE MTOTO YUPO TAYARI KWA KUYONYA.
- Mtoto anakua anafungua mdomo wake.
- Mtoto anakua anatafuta tafuta.(searching)
- Mtoto anakua ana angalia titi la mama na kuchezesha mwili.
DALILI ZA MTOTO ANAEYONYA VIZURI.
DALILI ZA MTOTO AMBAE HANYONYI VIZURI.
JINSI YA KUMUWEKA MTOTO WAKATI WA KUMYONYESHA.
- Kidevu kinakua kimeshika titi la mama.
- mdomo wa mtoto unakua umefunguka vya kutosha.
- Lips ya chini inakua imetoka nje.
- Sehem kubwa ya chuchu inakua inaonekana kwa juu.
- Mtoto ana achia titi na anakua halitaki tena baadaya kuyonya.
- Mtoto hupata usingizi baada ya kuyonya
DALILI ZA MTOTO AMBAE HANYONYI VIZURI.
- Kidevu hakija shika titi.
- mdomo hauja funguka vya kutosha
- lips ya chini iko kwa ndani.
- chuchu huonekana zaidi kwa chini kuliko juu.
- Huoni au kusikia wakati mtoto akimeza.
- mtoto kulia baada ya kuyonya.
- mtoto ana yonya kwa mda mrefu sana.
JINSI YA KUMUWEKA MTOTO WAKATI WA KUMYONYESHA.
- Mwili wa mtoto na kichwa vinakua vime yooka
- uso wamtoto unakua unaangalia titi la mama.
- mwili wa mtoto unakua karibu na mwili wa mama.
- mama anakua amesapoti mwili mzima wa mtoto.
DR ONESMO EDISON
0759913570
0673913571
No comments:
Post a Comment