FAIDA AMBAZO MAMA ANAPATA KWA KUYOYESHA MTOTO
- mama huweza kutumia hii kama njia ya uzazi wa mpango, mama ambae anayonyesha mtoto wake inavo takiwa hupunguza uwezekano wa yeye kupata mimba.
- kunyonyesha mtoto kwazati hupunguza uwezo wa mama kupata saratani ya titi.
- kuyonyesha mtoto baada ya kuzaa husababisha homoni ya prolactin na oxytocin kutoka ambazo huweza saidi mfuko wa uzazi kusinyaa ambayo hupunguza uvujaji wa damu.
- Maziwa ya mama ni bure kabisa.
- kuyonyesha mtoto husaidia kuogeza upendo kati ya mama na mtoto.
- Kuyonyesha ndio njia ambayo Mungu aliweka ili mtoto aweze kupata chakula ambacho kita msaidia kukua kimwili na kiakili.
- Mazima ya mama yana virutubisho vyote ambavyo hutakiwa kwa mtoto.
- Ninyepesi zaidi kwa mfumo wa chakula wa mtoto kumengenya maziwa ya mama kuliko mazima yoyote yale.
- Huleta upendo kati ya mtoto na mama.
- Mazima ya mama humpa mtoto kinga za mwili ambazo huweza kumsaidia mtoto kujikinga na magojwa mengi.
- maziwa ya mama yapo mda wote, na ni safi na salama kwajili ya mtoto. Hayaitaji kuandaliwa.
- Hupunguza uwezekano wa mtoto kuweza kupata aleji ambazo agepata kama angetumia maziwa mengine
- maziwa ya mama husaidia mfumo wa chakula wa mtoto ukomae na kupungu ugojwa wa kuharisha hovyo.
- maziwa ya mama garama yake ndogo sana ukilinganisha na maziwa mengine.
DR ONESMO EDISON
0759913570
0673913571
No comments:
Post a Comment