Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linaloongezeka sehemu
mbalimbali hapa duniani. Ingawa huwatokea wanaume wengi, mara nyingi
inakuwa ni muda mfupi na la kupita.
Kushindwa kusimamisha uume kunakoongozeka kadri siku zinavyooenda ni tatizo linahitaji msaada wa kitabibu haraka.
Tabia zifuatazo zinachangia kutokea kwa tatizo hili kwa wanume:
Kushindwa kusimamisha uume kunakoongozeka kadri siku zinavyooenda ni tatizo linahitaji msaada wa kitabibu haraka.
Tabia zifuatazo zinachangia kutokea kwa tatizo hili kwa wanume:
- Uvutaji wa sigara na utumiaji wa bidhaa za tumbaku.
- Unywaji sana wa pombe.
- Kutofanya mazoezi ya mwili.
- Kula vyakula visivyo na virutubisho; nafaka zisizokobolewa, vyakula vyenye mafuta kwa wingi, kiasi kidogo cha mboga za majani na matunda kwenye mlo.
- Uzito wa kupitiliza (overweight).
DR ONESMO EDISON
0759913570
0673913571
No comments:
Post a Comment