1.Nafaka kamili.Mfano Dona
2.Mbogamboga na matunda
3.Protini
4.Mafuta pamoja na sukari.
Huu ni mfano mojawapo picha jinsi tunavyo takiwa kula kila siku.
Lakini binadamu wa siku izi tumebadilisha kabisa mfumo wa kula ndiyo maana tunakumbwa na malazi mbalimbali kama presha,kisukari.kansa,magonjwa ya moyo na mengineyo mengi yanayo sababishwa na ulaji mbovu.Mfumo ambao tunakula siku izi binadamu ni huu apa:
1.Mafuta na sukari kwa wingi
2.Protini.
3.Mbogamboga na matunda
4.Nafaka kamili.
5.Mazoezi.
Mazoezi ni jambo la muhimu sana kwa afya ya mwanadamu lakini binadamu wa siku hizi tunapuuzia sana swala zima la mazoezi ndiyo maana hatuishiwi na magonjwa ya mara kwa mara.
DR ONESMO EDISON
0759913570
0673913571
No comments:
Post a Comment