Wednesday, 11 November 2015
FAHAMU KWA UNDANI KUHUSU SHINIKIZO LA DAMU (Muuaji wa Kimya Kimya)
Kama tatizo la shinikizo la damu au presha halipatiwi tiba huweza kuleta matatizo au maafa kama ugonjwa wa moyo, kufa kwa figo, kupooza, upofu, au athari katika ubongo.
Shinikizo la damu ni neno la kiganga linalotumika kuelezea hali ya ugonjwa wa shindikizo la juu wa damu. Shinikizo la damu ni muhimu kwa ajili ya kusaidia kusukuma damu katika sehemu zote za mwili, lakini shinikizo la damu la juu linaweza kuleta madhara ya kiafya na huweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya.
Sunday, 1 November 2015
FAHAMU KUHUSU UVIMBE WA SEHEMU YA HAJA KUBWA.(HAEMORRHOIDS)
HAEMORRHOIDS
Huu ni ugojwaa mbao una asili sehemu ya haja kubwa ya
binadamu. Mishipa ya damu inayo sambaza damu katika sehemu ya haja kubwa huvimba.
Subscribe to:
Posts (Atom)